Latest Transfers

Local,Transfer News,Azam Fc, KCCA Azam FC yamnasa mfungaji bora wa Ligi Kuu Uganda

Azam FC yamnasa mfungaji bora wa Ligi Kuu Uganda

Klabu ya Azam FC inatajwa kuwa kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Uganda, Ivan Ahimbisibwe, kutoka klabu ya KCCA FC k

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Manchester United, Inter, Local Ederson kutua Manchester United

Ederson kutua Manchester United

Kiungo wa Atlanta Ederson amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Manchester United katika dili linalofikia thamani ya takriban €45 milioni pam

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Real Madrid, Inter Milan, Liverpool, Local Mourinho aanza na Kounate, Dumfries

Mourinho aanza na Kounate, Dumfries

Ripoti mpya kutoka vyanzo vya soka barani Ulaya zinaeleza kuwa kocha mtarajiwa wa Real Madrid José Mourinho amepitisha usajili wa beki wa Liverpoo

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Liverpool, Real Madrid, Local Kounate kutua Real Madrid

Kounate kutua Real Madrid

Beki wa kati wa kimataifa wa Ufaransa, Ibrahima Konaté, ameripotiwa kufikia makubaliano ya awali kujiunga na miamba wa Hispania, Real Madrid, kati

READ FULL REPORT →
Local,Transfer News,Singida BS, Yanga, TRA Singida BS yakaribia kumnasa Nouma kutoka TRA United

Singida BS yakaribia kumnasa Nouma kutoka TRA United

Klabu ya Singida Black Stars inaelezwa kuwa ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa kushoto wa TRA United, Valentine Nouma, ku

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Kaize Chiefs Da Cruz Kocha Mpya Kaizer Chiefs

Da Cruz Kocha Mpya Kaizer Chiefs

Klabu ya Kaize Chiefs ya Afrika Kusini, imemteua kocha Mfaransa, Fernando Da Cruz, kuwa meneja mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili, huku

READ FULL REPORT →
Local,Transfer News,Tetesi, Simba, Vipers Simba yamuwinda MVP ligi kuu Uganda

Simba yamuwinda MVP ligi kuu Uganda

Klabu ya Simba SC imeanza mapema kupanga maboresho ya kikosi chake kuelekea msimu ujao, huku ikiripotiwa kumweka kwenye rada kiungo mshambuliaji ma

READ FULL REPORT →
Local,Transfer News,Tetesi, Yanga, Singida BS Aucho atajwa Yanga mkataba wake na Singida BS ukielekea ukingoni

Aucho atajwa Yanga mkataba wake na Singida BS ukielekea ukingoni

Kiungo mkabaji wa Uganda, Khalid Aucho, ameanza kuhusishwa tena na uwezekano wa kurejea katika klabu ya Young Africans SC baada ya taarifa kueleza

READ FULL REPORT →
Local,Transfer News,Coastal Union, TP Mazembe Kiungo Coastal Union kuibukia TP Mazembe

Kiungo Coastal Union kuibukia TP Mazembe

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Coastal Union, Bakari Msimu, amekamilisha rasmi usajili wake wa kujiunga na vigog wa soka Jamhuri ya Kidemokrasia y

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Barcelona, Atletico, Local Barcelona na Atletico Madrid zatunishiana misuli kuhusu Julian Alvarez

Barcelona na Atletico Madrid zatunishiana misuli kuhusu Julian Alvarez

Vita ya usajili kati ya vigogo wawili wa La Liga, FC Barcelona na Atlético Madrid, imezidi kupamba moto baada ya klabu hizo kuingia kwenye mvutano

READ FULL REPORT →
Local,Transfer News,Azam Fc Azam Fc kumuongeza mkataba Mao

Azam Fc kumuongeza mkataba Mao

Klabu ya Azam Fc imefungua mazungumzo na kiungo mkongwe Himid Mao ili kuhuisha mkataba wake unaoelekea ukingoni.Mao ambaye alirejea Azam FC

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Chelsea, Real Madrid, Manchester City, PSG Enzo aiwekea ngumu Chelsea, ataka kuondoka

Enzo aiwekea ngumu Chelsea, ataka kuondoka

Kiungo wa kimataifa wa Argentina, Enzo Fernández, ameweka wazi msimamo wake wa kutaka kuondoka katika klabu ya Chelsea FC katika dirisha lijalo la

READ FULL REPORT →
Local,Transfer News,Azam Fc, Yanga Azam Fc yampigia hesabu kali kocha wa zamani Yanga amrithi Ibenge

Azam Fc yampigia hesabu kali kocha wa zamani Yanga amrithi Ibenge

Uongozi wa klabu ya Azam FC unatajwa kuwa kwenye hatua za awali za mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Young Africans SC, Pedro Gonçalves, ili aweze

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Barcelona, Newcastle, Local Barcelona hawatanii: Wamnasa Anthony Gordon katika dili la Euro milioni 70

Barcelona hawatanii: Wamnasa Anthony Gordon katika dili la Euro milioni 70

FC Barcelona wanaendelea kuonyesha kwamba msimu huu wa usajili hawako tayari kufanya mzaha. Klabu hiyo ya Catalonia sasa iko hatua kubwa karibu kum

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Tottenham, Manchester City, Newcastle Spurs warudi kwa Savinho

Spurs warudi kwa Savinho

Baada ya msimu mgumu uliowaweka karibu na eneo la kushuka daraja, Tottenham Hotspur wameanza harakati za kurejesha makali yao kwa kuangalia soko la

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Manchester City, Chelsea, Local Enzo Maresca ndiye mrithi wa Guardiola Man City

Enzo Maresca ndiye mrithi wa Guardiola Man City

Habari za moto na zimethibitishwa! Kocha wa zamani wa Chelsea, Enzo Maresca atajiunga na klabu ya Manchester City kuchukua nafasi ya Pep Guardiola.

READ FULL REPORT →
International,Transfer News,Atletico Madrid, Barcelona, PSG Alvarez azidi kuiweka gizani Atletico Madrid

Alvarez azidi kuiweka gizani Atletico Madrid

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Julián Álvarez, hana mpango wa kuongeza mkataba mpya na Atlético Madrid kwa sasa licha ya taarifa zinazo

READ FULL REPORT →