Kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Feisal Salum 'Fei Toto' bado anaongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu msimu huu akifikisha mabao 12.
Fei Toto alifunga bao lake la 12 jana kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao Azam Fc waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Allan Okello nae akafunga mabao mawili jana akifikisha mabao 9 sawa na mchezaji mwenzake wa Yanga Prince Dube ambaye pia ana mabao 9.
Hii hapa orodha ya nyota 10 vinara;




