Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mechi tatu zinatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Singida Black Stars watshuka dimba lao la nyumbani, Airtel mapema saa 10 kuikabili Mtibwa Sugar.
Mabingwa watetezi Yanga nao watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Coastal Union katika mchezo utakaopigwa saa 12:15 jioni.
Maafande wa JKT Tanzania watakamilisha raatiba ya leo majira y saa 2:30 usiku pale watakapowakabili Mbeya City.




