Singida BS mwendo wameumaliza Zanzibar, wanarudi Bara

Joel JJ By Joel JJ β€’ 24th April 2026


Singida BS mwendo wameumaliza Zanzibar, wanarudi Bara

Kikosi cha Singida BS kimeondoka visiwani Zanzibar kurejea Bara baada ya kutupwa nje ya michuano ya kombe la Muungano.

Jana Singida BS walikumbana na kipigo ambacho hawakukitarajia kutoka kwa Mlandege Fc wakichapwa mabao 2-1 katika mchezo wa robo fainali.

Singida BS ni timu pekee kutoka Bara ambayo haikufanikiwa kutinga nusu fainali baada ya Yanga, Azam Fc na Simba zote kutinga hatua hiyo.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.