Klabu ya Coastal Union imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha mkuu Mohammed Muya kwa makubaliano ya pande mbili.
Coastal Union wamefikia hatua hiyo baada ya mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha.
Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.