Baada ya kulifuta kazi benchi lote la ufundi uongozi wa Singida BS umetangaza kuwakata mishahara wachezaji wote kwa asilimia 40.
Taarifa iliyotolewa na Singida BS imebainisha kuwa wachezaji watapokea mshahara pungufu hadi mwisho wa msimu.
Aidha klabu pia imefuta bonasi zote ambazo wachezaji walikuwa wakipokea timu inaposhinda.
Posho za safari nazo zimepunguzw kwa asilimia 40.




