Walima alizeti wa Singida BS leo wanaelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Muungano inayotarajiwa kuanza rasmi leo.
Singida BS itacheza mechi robo fainali siku ya Alhamisi dhidi ya Mlandege Fc.
Kikosi cha wachezaji 29 wanaelekea Zanzibar kushiriki michuano hiyo.




