Shirikisho la soka la Rwanda limethibitisha kufanyika kwa michuano hiyo baada ya kutangaza ratiba yao ya kuanza msimu wa ligi 2026/27.
Singida BS ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo ambayo walitwaa msimu uliopita.
Hata hivyo huenda michuano hiyo ikawakosa vigogo wa soka nchini klabu za Yanga, Simba na Azam Fc ambazo pengine wakati huo zitakuwa kwenye michakato ya kuanza pre-seson



