Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ikiingia mzunguuko wa 22 ambapo mechi mbili zinatarajiwa kupigwa.
TRA United itakuwa mwenyeji wa Azam Fc katika mchezo mkali unaotarajiwa kupigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo.
Ni mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali hasa kwa kuzngatia ubora wa timu zote.
Namungo Fc nao watakuwa uwanja wa Majaliwa kuikabili Mashujaa Fc katika mchezo utakaowakutanisha makocha wa zamani watimu ya Taifa Juma Mgunda na Jamhuri Kiwhelo 'Julio'




