Pata habari zinazohusu mashindano ya ndani, klabu zako pendwa Yanga, Simba, Azam Fc n.k. Pata habari za klabu na ligi za majuu kama EPL, La Liga, Bendesliga, Serie A, mashindano ya UEFA, CAF n kona zote Duniani
Pata ratiba ya mechi zote za ndani na Kimataifa msimu mzima. Iwe ligi Kuu ya NBC, EPL, La Liga, Serie A, UEFA, Bundesliga, kombe la FA, Spanish Cup na ratiba za mashindano yote
Msimamo wa ligi zote utaipata ndani ya Xtra 90. Kuwa na karibu na taarifa sahihi za timu yako pendwa kiganjani mwako.
Kwa wake wanaopenda kubashiri matokeo ya mechi mbalimbali, Xtra 90 itakupa urahisi wa kufahamu usahihi wa matokeo ya mechi zinzofuata. Kupitia mfumo wa kisasa wa teknolojia, Xtra 90 itafanya ubashiri wako uwe wa mafanikio zaidi
XTRA 90 Media is a fast growing Media Company located in Tanzania (East Africa)
Get in touch via email xtra90media@gmail.com